Makapuku Forum

Ila auntie una kauchochezi jamani kama baba wawili[emoji23][emoji23][emoji23]

Ila leo nimemmiss mchumba angu sijui nani kanitekea na hii hali ya hewa jamani
...nilikuambia aunt, uvumilivu na kusamehe ndiyo kitu pekee wakati ukiwa na anko wangu.
...yupo atakuja katekwa na shemeji wa katibu tarafa anaitwa Halima cheupe , anko wangu Lee msimu huu anatiririka tu na vyeupedawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…