Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ikiwa ni miaka 25 sasa toka Bondia Mike Tyson kung’ata sikio la Bondia Evander Holyfield mwaka 1997 wakati wa pambano la ngumi, kampuni ya Tyson inazindua pipi za bangi, zenye umbo la sikio zinazoitwa "Mike Bites."

Kampuni ya Bangi ya Mike Tyson ilitangaza habari hiyo kupitia mtandao wa Twitter siku ya Jumanne tarehe 15 March ikisema kwamba pipi hizo zitauzwa katika zahanati za miji ya Massachusetts, California na Nevada nchini Marekani.

Tyson amekubaliana na idea hii ya pipi za bangi na kuandika “Masikio haya kwa kweli yana ladha nzuri”

Baba wawili Nigendako kuna ujumbe wako hukuView attachment 2153218
Pipi tena, tunataka kitu og, jani kama jani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom