Hello my wii
Yap mamyHello my wii
Niko poa wifiYap mamy
U gud??
Wengine sisi drs la 5
Weka kurasa Basi......mpendwaPoa sanaa
Ngoja vijana waamke niwawekee kurasa za leo
KwemaLeteni story
Mkuuuu umeadimika kama lowasa....Na hivi sina koloni! Hata sitafutwi😎nashukuru nimerudi tena
Kumbe huna!!!! Ha haa nataman uwe insteady ya kuwa colon uwe my over sea provinceHahahahahahaha kutafutwa sio mpaka uwe na koloni, mbona mi sina ila nisipoonekana lazima nitafutwe???
Hahahahahahaha kutafutwa sio mpaka uwe na koloni, mbona mi sina ila nisipoonekana lazima nitafutwe???
habar zetu njema Karibu mkuu
Sie wazima sanaa
Asubuh njema kwako