Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Kama kawa kama dawa mkuuFresh mkuu, naona unalisongesha kama kawa
Kama kawa kama dawa mkuuFresh mkuu, naona unalisongesha kama kawa
Teh teh... leo vp mkuu mbona bado mapema?
Acha tu...Teh teh... leo vp mkuu mbona bado mapema?
Wazee wenzangu wa kuweka mzigo (kubet) - Karibuni tubashiri Mechi za Leo!Naomneni link za wale jamaa watabiri mechi
Ni ijumaa tena, hii siku bhana ikifikaga nakuwa na mizuka sijui kwa niniGood morning all.....
Thanks lord for another day....
Yes madam, it is so amaizingMorning peoplezzz
Mwee, haya banaBasi jukwaa la lugha linakuhusu
Labda sababu wewe ni mwana chuoNi ijumaa tena, hii siku bhana ikifikaga nakuwa na mizuka sijui kwa nini
hahahh nice try!Labda sababu wewe ni mwana chuo
twampa hongera huyo aliyekufichaHabari zenu wakuu... Za masiku teelee.... Natumaini wote nilowaacha kipindi kile mujambo.... Misingiii mingi mingi jamani.
Tafuta pamepoandikwa "Wazee wa kutupia mizigo (kubet)" kwenye hicho kidude cha kutafutiaNaomneni link za wale jamaa watabiri mechi
Maana ungekuwa nesi na unajua una zamu usiku kamwe usingefurahiahahahh nice try!
twampa hongera huyo aliyekuficha