sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Dada ValentinaAfu wewe![]()
Dada ValentinaAfu wewe![]()
Mambo kaka sumbaiDada Valentina
Kwema mkuuAfadhali umenisaidia mkuu
Hahahahaa tatizo ni ratio sasa kwakuwa nyie ni wachache humu afu sie nyomi... Haki sawa haiwez kuapply hapaHahahahahaha basi na wewe ukiadimika tutakuwa tunakutafuta, haki sawa
Poa dada ValentinaMambo kaka sumbai
Pole angalia usizame mama angu..Kanitelekeza mtoni
Mishe ni poa sana ndugu yanguNi gud mkuu wangu, za mishe?
Tuko poa kingozi, karibu sana G.ManHabari zenuni makapuku?
Mefrahi pia mukaka,mzigo mpya umeingia?Poa dada Valentina
Nimefurah kukuona
Wa nani tena?Pole angalia usizame mama angu..
Mume WA mtu huyo
Nafurahi kuskia hivyo, naamin na aliyekupa ubavu wake kwa uumbaji yuko poa piaMishe ni poa sana ndugu yangu
Yuko poa sanaaaaNafurahi kuskia hivyo, naamin na aliyekupa ubavu wake kwa uumbaji yuko poa pia
Au ndio mumeo niniKwani hakukwambia ??
Muulize atakwambia tu
Una akili sana ukiacha pombeHahahahaa tatizo ni ratio sasa kwakuwa nyie ni wachache humu afu sie nyomi... Haki sawa haiwez kuapply hapa
Wifi naona unatetea haki yakoKwani hakukwambia ??
Muulize atakwambia tu