Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Nini mbaya mpaka kimenuka??Hapa ubungo ni full mabomu daaah polisi na hawa machinga sijui....
Nini mbaya mpaka kimenuka??Hapa ubungo ni full mabomu daaah polisi na hawa machinga sijui....
40k sio 4k mkuu mbona hivyo sasa......
Hamia jukwaa la lugha pale hata kispanish kipoHahahaaa....huu ushauri siutaki
labda nihame jukwaa naweza pata support
Mkuu...wale Jamaa wanafanya biashara mataa pale....wengine wanadai ni vibaka....nimepita hapoNini mbaya mpaka kimenuka??
Nipo tu kulala bado kidogo,Mkuu ndio unaamka?? Au unalala...
Habari yako
Hahahahahaha ndo kujifunza kwenyeweTutakimbiana humu ndani
Pole yaohahahaha wapo mkuu
Pole kwa watakaopata kipigo bila hatia, wanaofanya makosa sheria uchukue mkono wakeMkuu...wale Jamaa wanafanya biashara mataa pale....wengine wanadai ni vibaka....nimepita hapo
Sio uongo cjajichanganya uswazi kivileHujaishi uswaz shem
Mwee...kispanishi na MALOVEE wapi na wapi?Hamia jukwaa la lugha pale hata kispanish kipo
Mbona ndo iko romantic kuliko hata kiinglish?? Ni kifaransa na kispanish ndo vina sifa hiyoMwee...kispanishi na MALOVEE wapi na wapi?
Mi mbona vyote sivifahamuMbona ndo iko romantic kuliko hata kiinglish?? Ni kifaransa na kispanish ndo vina sifa hiyo
Basi jukwaa la lugha linakuhusuMi mbona vyote sivifahamu
Poa, mambo vipi??Wadau mambo vp, mmeshindaje?
Fresh mkuu, naona unalisongesha kama kawaPoa, mambo vipi??