amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
HapanaaaaaBasi na humu tupange siku ya kuongea English au
Labda tuongee kichagaaa
HapanaaaaaBasi na humu tupange siku ya kuongea English au
Poa shem![]()
![]()
hapana bwana.
Nikipata nitakutambulisha.
Baridi kuisha ni OctoberPoa mambo inlawa.....
VIP barid haijapungua
Hahaha umekuwa waarabu#Lazima nimdunde mtu.....nikizidiwa narusha mawe
![]()
![]()
![]()
..........
Hahaha umekuwa waarabu#
,hao kwa mawe hawajambo wanampiga hata shetwani kwa mawe

Hahaha tutakimbiana humu nakwambiaHapanaaaaa
Labda tuongee kichagaaa
Lugha za watu hizo, zilikuja na mashuaHahaha tutakimbiana humu nakwambia

Dah njoo.....aisee nimekumis kukuona na kaka ManuuBaridi kuisha ni October
Nataka nihamie huko kwenu kwenye joto
Sasa ntaachaje wakati wewe na Th Name mnanipiga tarehe kwa kaishu ambako kangekuwa kameshaishaaUsiondoke banaaa
Hahaha umekuwa waarabu#
,hao kwa mawe hawajambo wanampiga hata shetwani kwa mawe
Niajee![]()
![]()
ni balaa