Makapuku Forum

Makapuku Forum

.
20220303_075551.jpg
 
CONFIRMED: Robert Lewandowski amevunja mikataba yake ya udhamini na kampuni ya Huawei. Kampuni hiyo ya China inalisaidia jeshi la Urusi kiteknolojia. Lewandowski alikuwa balozi wa kimataifa wa Huawei na uamuzi huu umemgharimu karibu Euro milioni 5 (Sh 12.7 Bilioni)

Screenshot_20220310-040723_Instagram.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom