Kwani mie ya wazungu yananihusu nini dada? Sio shida zangu hizo🤣🤣🤣🤣
Kwani mie ya wazungu yananihusu nini dada? Sio shida zangu hizo![]()





We mwanamkeKwani mie ya wazungu yananihusu nini dada? Sio shida zangu hizo![]()
Mbona beautiful




Zawadi ya IWD AU?Mbona beautiful
Nataka zawadi.
...Maana nakujua wewe
Ni ndoa unatumikia sikuhizi au?We mbibi upo?![]()
Zawadi ya IWD AU?
Naogopa hata kuuliza Zawadi gani...Maana nakujua wewe
Sent using Jamii Forums mobile app







Ni ndoa unatumikia sikuhizi au?
Sio kwa kujipoteza huko aise





Huh! Nishadhulumiwa hapo walah



Afu kuna mtu kakumiss mahali, twende pm
Aah ndoa inajitumikia yenyewe bwana, mie natumikia taifa.
Nikudhulumu linipate jamboHuh! Nishadhulumiwa hapo walah![]()
wewe tulizana..