Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Baada ya Marekani na umoja wa Ulaya kukubaliana kuiwekea vikwazo vikali Russia vya kiuchumi ikiwemo Marekani kuziwekea vikwazo Benki za Russia, Rais wa Ukraine ameibuka na kusema vikwazo pekee havitoshi kukabiliana na Putin.
Rais huyu ambaye yupo sehemu iliyofichwa ili kuzingatia usalama wake amesema vikwazo pekee haviwezi kumfanya Adui yake Putin asitishe kuivamia Ukraine hivyo kuna hatua zaidi ya vikwazo zinapaswa kufanyika.