[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naenjoy mimi na haya maisha yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tufurahi tu auntie yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kwanini hii kauli yako huwa Inanichekesha sana..
Heri ya Mwaka Mpya kwa mara nyingine tena Auntiee[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tufurahi tu auntie yangu
Hivi si unajua maisha flani hivi huna stress eenh huna mtu wa kukupangia sijui usiende sehemu flani au usifanye hivi au ukitoka mtu ananuna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani unaishi maisha yako mwenyewe unafanya unachojisikia wewe najua unanielewa vizuri ninavyomaanisha dear
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umeona eenh auntie katika maisha kuna kitu nimejifunza me sasa hivi sikaribishi stress ya aina yeyote ile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifanya nimecheka ki faller Auntie[emoji23]
Nakuelewa vyema sana...Na hiyo stress ni juu ya nini? Na Dunia ilivyo na vitu Mob namna hii vya kutupa raha..
Enjoy Life Auntie..Tukutane pale Kijiwe Mishikaki[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini umehamia Kijijini Auntie?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umeona eenh auntie katika maisha kuna kitu nimejifunza me sasa hivi sikaribishi stress ya aina yeyote ile
Kijiwe mishkaki napendaga mishkaki ya nundu jamani sema sasa hivi nimehamia kijijini ila napamiss sana ile salad yao ile
HahahahahEtiii Espy Eroni
Au siyo shida zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2130886
Sent using Jamii Forums mobile app
Hhahahhaha kijiji cha hapahapa jijini auntie sio mkoaniLini umehamia Kijijini Auntie?
Ndiyoooo..Wale watu ile Mishikaki sijui wanaweka nini? Wakishirikiana na wale Vijana wa pale Upanga....Umeshaijaribu na yao?[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooooooh!!! Usiniambie Kijijini hapa hapa Jijini Auntie!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni sawa...Hhahahhaha kijiji cha hapahapa jijini auntie sio mkoani
Upanga ipi hiyo sio hapa njia ya kutokea muhimbilia au
Hahahahahaha kijijini mjini dar es salaam auntieOoooooh!!! Usiniambie Kijijini hapa hapa Jijini Auntie!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni sawa...
Dah!!!Hiyo hiyo...Achana na wale kama unaenda Takukuru...Wale wapo nyuma ya Aga Khan ile shule ya watoto..Wale watu balaa lao siyo dogo[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app