Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,423
safi km iko poa. Nataka nipate kichimbo /kipub fulani nitulie siku nzimaIko poa kabisa we mzee
safi km iko poa. Nataka nipate kichimbo /kipub fulani nitulie siku nzimaIko poa kabisa we mzee
hahahaha!tuko wengi .mimi kiongozi wao, mwanzo mwishoHahahaah nafurahi kusikia hivyo we mzee kujua kwamba kuna watu wananipenda sana nikiwa sipo wanajua umuhimu wangu![]()
Safi sana raha jipe mwenyewe we mzee tunaishi mara moja tusafi km iko poa. Nataka nipate kichimbo /kipub fulani nitulie siku nzima
Acha ukorofi we dada hakuna anaepigwa ban bila ukorofi halafu na huku kupigwa sana ban inaonyesha we ni mke wa aina gani..!!!😂
ni kweli shangazi raha jipe mwenyewe.kwa raha zakoSafi sana raha jipe mwenyewe we mzee tunaishi mara moja tu
shangazi yangu sio mkorofi.ila hapendi maujingaAcha ukorofi we dada hakuna anaepigwa ban bila ukorofi halafu na huku kupigwa sana ban inaonyesha we ni mke wa aina gani..!!!😂
Wewe ni shangazi yako Mimi ni mke wangu nani anaemjua zaidi..?😂shangazi yangu sio mkorofi.ila hapendi maujinga
Naona umeamua nilimwe ban tuAcha ukorofi we dada hakuna anaepigwa ban bila ukorofi halafu na huku kupigwa sana ban inaonyesha we ni mke wa aina gani..!!!![]()


Asante sana jamaniishangazi yangu sio mkorofi.ila hapendi maujinga
KhaaaaaWewe ni shangazi yako Mimi ni mke wangu nani anaemjua zaidi..?![]()
Kuna namna ya kuzikwepa ngoja kwanza wakusurubu ndo utajua!Naona umeamua nilimwe ban tu![]()
Mambo Toto..😀Khaaaaa
wewe unamjua zaidiWewe ni shangazi yako Mimi ni mke wangu nani anaemjua zaidi..?😂
ngoja niwapishe muongee na mr.nitarudi baadaeAsante sana jamanii
Bora ubaki maana mjomba ukiniacha na huyu shangazi yako jua ban inatuhusu sikuhizi amekuwa na mitusi sijui anakibend tumboni..😅ngoja niwapishe muongee na mr.nitarudi baadae
We mzee usimsikilize huyongoja niwapishe muongee na mr.nitarudi baadae
Unanigeuka we mzeewewe unamjua zaidi
SitakiiiMambo Toto..![]()