Yaani full utoto paleYaan palinishinda pale, Kuna vijana wa vyuoni hovyo hovyo mikele MDA wote, afu wanamwagiana mipombe bila ustaarabu.
Lugha za ajabu ajabu, yaan full tafrani pale.
Sasa nikitoka zangu mizungukkni, huwa nahitaj sehem tulivu kama GP kutuliza nafsi Kwanza na mziki was kiutu uzima[emoji4]
Nmewaachia nyie uko[emoji4]Yaani full utoto pale
Next time nikienda pale(kesho usiku nadhan), ntakustua uje upate ata bia mbili mkuu[emoji4]Hahahah kweli kabisa
Mie sio mtoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787] muhenga wa miaka 50 hapa jana nilibebwa tu na watoto wangu nilishindwa kuwakataliaNmewaachia nyie uko[emoji4]
Usijali mkuuNext time nikienda pale(kesho usiku nadhan), ntakustua uje upate ata bia mbili mkuu[emoji4]
Nmeangalia vizur ile picha yako, hakika huna umri huo wewe[emoji4]Mie sio mtoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787] muhenga wa miaka 50 hapa jana nilibebwa tu na watoto wangu nilishindwa kuwakatalia
Picha isikudanganye kabisa we amini nipo na miaka yangu 50Nmeangalia vizur ile picha yako, hakika huna umri huo wewe[emoji4]
Labda nusu yake utanishawishi
Lile goti halijakomaa bhana, tusipotoshane bhana[emoji4]Picha isikudanganye kabisa we amini nipo na miaka yangu 50
Hhaahhahah wengine miili yetu mizuri sio mpaka goti likomaeLile goti halijakomaa bhana, tusipotoshane bhana[emoji4]
Hata Kama, ila sio kwa 50sHhaahhahah wengine miili yetu mizuri sio mpaka goti likomae
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata Kama, ila sio kwa 50s
unacheka eeeh?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah acha niendelee kuchekaunacheka eeeh?
Wee Uko kwny late 20s au early 30s
Usindanganye mkuu[emoji4]