| Moses Phiri Mambo yameiva Simba
.
Mambo yameiva pale Zambia. Mshambuliaji hatari Moses Phiri amefunguka kwamba msimu ujao anatua Msimbazi baada ya makubaliano ya awali kufanyika
.
“Bado mimi ni mchezaji wa Zanaco, lakini kama Simba wamekuja na ofa nzuri mezani kwa nini nikatae wakati mpira ndio kazi yangu.”
.
“Uwepo wa Chama na Bwalya katika kikosi cha Simba kimenifanya niridhike kuwa, kikosi cha timu hiyo kinaundwa na mastaa wanaotaka mafanikio.”
.
“Naongea sana na Chama ni rafiki yangu sana ameniambia nipambane kuhakikisha nakuja huko, nafatilia mechi nyingi za Simba ni timu kubwa.” Amesema Phiri.
View attachment 2109574