

Farhan Jr
INTRODUCTION TO MUKOKO TONOMBE
Define Mukoko Tonombe, refers to a certain humble talent born and raised in Congo Kinshasa, the former country under Mobutu Sseeko
Umejibu vyema, mwingine mwenye majibu mengine? Mukoko ni Binadamu bora alieichezea Yanga Afrika na kuheshimu mkataba wake mpaka dakika ya mwisho
What are the characteristics of Mukoko Tonombe?
- Kipaji kikubwa
-Mvumilivu
- Kiongozi Bora
- Nidhamu kubwa
- Mchezaji wa nguvu
What are the advantages of Mukoko Tonombe?
-Unyumbufu
-Mfungaji mzuri
-Kukaba sana
Neno lolote kwa Mukoko wakati huu ameondoka? Ndio lipo, naomba nimnukuu Mwanafalsafa Peter Pan aliwahi kusema "Never say goodbye, goodbye means going away, going away means forgetting"
Ndio Peter Pan alisema tusipende kusema kwaheri, kwakuwa kwaheri ni kuondoka, kuondoka maana yake ni kusahau! Bila shaka Watanzania hawataki kusahau ubora wake, bila shaka hii ni see you later, kuwa tutaonana baadae tena
Asante kwa kugeuza Katikati mwa dimba kama membari na Imaam, asanteni kupageuza katikati mwa uwanja kama Tanga na mapenzi, Asante kwa kuwapa nafasi ya Wananchi kuishi tena, kutumaini tena na kuamini tena
Asante kwa kuzibariki nyasi za Mkapa, Asante kwa kumbukumbu za Sokoine na Asante kwa nafasi ya mwisho pale Sheikh Amri Abeid, Arusha! Itasalia kwenye kumbukumbu mpaka pale utakaporejea tena