Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Itakuwa borahahahaha hajaleta bd? Ngoja nimuamshe
Itakuwa borahahahaha hajaleta bd? Ngoja nimuamshe
Binamu sisi tunaotumia app tunapata shida sana sijui wenzangu ila kwangu attachment hazifunguki
Pole aunt, nilikuwa natest tu mitambo. App ya JF niliwahi kuitumia nikaiondoa, ilikuwa na glitches (error) kibao kwenye media.Binamu sisi tunaotumia app tunapata shida sana sijui wenzangu ila kwangu attachment hazifunguki
hahahaha,ulikula sana bataNipo hapa we mzee ndio naamka
Bata kwa kwenda mbele we mzee maisha yenyewe mafupi hayahahahaha,ulikula sana bata
sawa sawa shangazi.kula bata maisha mafupiBata kwa kwenda mbele we mzee maisha yenyewe mafupi haya
Sanaaa tu we mzeesawa sawa shangazi.kula bata maisha mafupi
hahahaha.dar lini shangazi? Umehamia huko nn?Sanaaa tu we mzee