Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kila la heri mnyamaaa
Screenshot_20211211-154703_Instagram.jpg
 
Farhan Jr

Automatically kama hauna Thadeo Lwanga pale kati that means unahitaji ngome ya Mkude na Mzamiru kisha ukicheza gamble ya Kanoute na Bwalya

Ila sitoshangaa sana kama Kanoute ataanza, tactically Makocha huwa hawabadiliki sana kutokana na kwamba partnership nyingi wanazifanyia mazoezi

Naiona Simba ikianza na Bernard Morrison pamoja na Hassan Dilunga HD, unahitaji kupunguza gap la Kibwana na Djuma Shabaan, automatically itapunguza idadi ya wachezaji wa Yanga

Yanga kwa kufahamu Simba kati mwa uwanja sio imara sana, itamchukua Nabi akili ya kawaida tu kuweka Watu watatu wenye uwezo wa kucheza

Lazima Bangala adetect tempo, Aucho atakuwa Game reader na Feisal atakuwa huru kusogea kwenye area 14, haswa kwa ajili ya second balls ambapo ana huo ubora

Kutokea kati Yanga watacheza pass nyingi kulifikia lango la Simba haswa ile changamoto ya Simba ni transition kutoka kushambulia kuja kujilinda, Yanga atatumia faida ya idadi kwa eneo

Naiona DERBY Bora sana siku ya leo, yenye mbinu na Ufundi mwingi sana!
Screenshot_20211211-160425_Instagram.jpg
 
CEO wa Simba Babra amezuiliwa kuingia uwanjani kutazama mechi ya Simba dhidi ya Yanga licha ya kuwaonesha tiketi zote akiwa na Wadogo zake

Huu ni UHUNI na hauvumiliki kabisa

CEO ameyasema hayo kupitia INSTA LIVE ya akaunti yake rasmi ya Instagram

CEO anasema Wahusika wakuu ni Bodi ya Ligi
Screenshot_20211211-175639_Instagram.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom