Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20211211-094520_Instagram%20Lite.jpg
 
Scanda24
・・・
BUSINESS MATURITY.
.
Achana na siasa za soka la Bongo, achana na kelele za mashabiki, achana na mzaha wa Wataalamu wa Vibonzo. Miaka mitatu au minne sasa Simba anasafiri sana kwenye soka la Afrika na anakutana na miamba ilofanikiwa kibiashara hivyo anajifunza pesa ilipo.
.
Ikumbukwe Kabla ya Msomi wa Biashara Barbara Gonzalez hajashika hatamu Simba ilikua na mtaalamu wa masuala ya soka Afrika Senzo Mbatha, kaondoka ila hajaondoka na mipango ya Simba na elimu aloiacha.
.
Simba natafuta NEGOTIATION GROUD, either TPBL au TFF mmoja wao anatakiwa ajue kwanza kuna BUSINESS MATURITY kwenye atmosphere ya Simba na wanaijua biashara hivyo hawawezi kukubali 'KIBOYA' biashara isokua na faida. Kit Supplier wa Yanga ndiye kawa mdhamini wa Ligi kwa mkataba wa VIPOFU. Wanailazimisha Simba ambayo imeingia mkataba wa zaidi ya Bilioni 2 kumuweka kwenye jezi yake VUNJA BEI kama Kit Supplier wake. How Comes Mafahari wawili..?
.
Simba ananyesha na panapovuja panaonekana, palipoonekana ni pale kwenye idara za kibiashara za TPBL au TFF hawatambui mipaka ya kibiahara na hivyo kwa wazoefu wa kibiashara hii inawapa shida. Walichopaswa kufanya ni kutengeneza FAIR ATMOSPHERE ya kibiashara ili kuona kama mkataba wanaoingia wanaweza kumpa mdhamini lile atakalo au walilokubaliana.?
.
Sina shaka na mchezo kufanyika, shaka yangu ni kwamba hakuna biashara itakayofanyika tena baina ya GSM na TFF/TPBL. Hili sio tu doa hii ni Dosari na nimewahi kusema awali WAFANYABIASHARA wataliona soka kama PLATFORM ya hovyo kuwekeza hela Tanzania. Wataalamu wa Biashara na Maendeleo kwenye makampuni watawaona TFF/TPBL kama RISK PARTNERS.
.
Wanachokifanya Simba kilipaswa kutokea miaka mingi, hii itapelekea TRANSFORMATION ya Biashara katika soka letu, Simba wasikilizwe kwa hoja na wajibiwe kwa hoja. Biashara ni mchezo wa Faida.
.
PREFERENCE Inakupa uamuzi wa kuchagua lakini OPPORTUNITY inakulazimisha kupokea kilichopo, TFF/TPBL wanaangukia hapa kutokana na uhaba wa watu wanaotamani kufanya nao Biashara. Kutokana na kuwa na Historia mbaya ya kutengeneza faida matokeo yake wao ndio wanatafuta FURSA.
.
.
NB
Hata wasiojua biashara nao wana wafuasi
.
BrandingIsAnArt
Screenshot_20211211-130116_Instagram.jpg
 
BARBARA: MUGALU YUKO FIT
.
"Kuhusu straika wetu Chriss Mugalu yupo sehemu ya kikosi kilichokuwa kambini na alifanya mazoezi ya pamoja kama wachezaji wengine walivyokuwa wakitimiza majukumu yao," amesema Barbara na kuongeza;
.
"Katika mazoezi kwa nafasi yangu Mugalu alifanya vizuri ila jukumu la kucheza mechi ya leo dhidi ya Yanga au kuwekwa benchi si jukumu langu bali ni la kocha wetu, Pablo Franco,"


Screenshot_20211211-131046_Instagram.jpg
 
"Wachezaji kama Jonas Mkude, Benard Morrison na wengine wote waliokuwa kambini wapo fiti na morali ya hali ya juu kwa ajili ya kuipigania Simba na kupata pointi tatu,"
.
"Ukimuangalia kila mchezaji katika kambi yetu yupo na hamu ya hali ya juu kupata nafasi ya kucheza ili kwenda kuipagania timu kupata ushindi kama malengo yalivyo."

- Ofisa Mtendaji mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez.
Screenshot_20211211-131201_Instagram.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom