Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimegenerilize hapo sijaongea kishabiki...ila ligi pendwa ambayo mnasema haiwiki nje ya mipaka yake itabaki kuwa epl...na walifaulu hlo kitambo kuaanzia media coverage na kuvuna mashabik pande zote za dunia.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] huku kwetu tupo La Liga pekee
 
Honestly speaking....Yanga hawajui kutumia viwanja vya nje naa mashabik pia hawajui umuhimu wao wanaposafir na timu....ndo maana wale wa Angola wangejizatiti wangerudisha goli zote
Bado hamjajibu maswali zaidi ya kuleta essay
 
7c04df8bfcd7d4b06fb0653f79d76a97.jpg

Naona kikopo cha maji ya uhai hapo boss...
 
Back
Top Bottom