PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
umeanza kuwa mkubwa siku hizi[emoji13]Always spain ligi yao ni bora huwezi kuilinganisha na uk
umeanza kuwa mkubwa siku hizi[emoji13]Always spain ligi yao ni bora huwezi kuilinganisha na uk
Mi ni shabiki mkubwa wa Madrid tena toka niko mdogo enzi za kina Raul, Zizzou,umeanza kuwa mkubwa siku hizi[emoji13]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Raul utamjulia wapi Bibie kipindi unaosha vyombo Mimi Barcelona nimeanza ifuatilia mwaka 1986 kipind tunamsajil Maradona huo ndio mwanzo wa kuipenda Barca had hivi leoMi ni shabiki mkubwa wa Madrid tena toka niko mdogo enzi za kina Raul, Zizzou,
EPL Ligi yenye mvuto/upinzani(ukobet unaliwa)umeanza kuwa mkubwa siku hizi[emoji13]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] upinzani wa 3:1EPL Ligi yenye mvuto/upinzani(ukobet unaliwa)
La Liga ni Best League tatizo upinzani ni mdogo(ukibet unakula)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
Ndio maana haina mvuto binafsi nacheki EL CLASSICO TU au Barca & Real V Atletico[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] upinzani wa 3:1
[emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Nimeongezea hilo 1
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
...........
Sevilla hawa walimuua 3:0 Man u tena Trafford hvyo Liverpool kajitahd sana kupata kimojaNdio maana haina mvuto binafsi nacheki EL CLASSICO TU au Barca & Real V Atletico
Baaaaaaaasi
.......
Nimeongelea story za mbuziSevilla hawa walimuua 3:0 Man u tena Trafford hvyo Liverpool kajitahd sana kupata kimoja
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ukiona hvo imekugusa kunakoNimeongelea story za mbuzi
Ww unazungumzia kitimoto
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
..........
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ukiona hvo imekugusa kunako
Hodi humu
Hivi kati ya Simba na Yanga ipi iliyokufa?? Tuseme tu ukweli bila ushabikiEt mmekufa kiume hakuna kufa kiume kufa ni kufa tu
Kufa nilikokuzungumzia ni kufungwa [emoji4]Hivi kati ya Simba na Yanga ipi iliyokufa?? Tuseme tu ukweli bila ushabiki
Hivi kati ya Simba na Yanga ipi iliyokufa?? Tuseme tu ukweli bila ushabiki
Kufa nilikokuzungumzia ni kufungwa [emoji4]
Vyura mechi ya pili ushindi wanautafuta kwa tochi