Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wekundu wa msimbazinyama Simbaaaaaa Agrrrriiiiiiiiii
7c845a09f05b2bbe981f6325de66acbc.jpg

.........
 
Mi La liga naielewa sana......

La liga ipo very uniform huwe icompare na epl hata kidogo....timu zile zile la liga ndo zinashindaga na kuongoza ligi/kuchukua ubingwa kabisa tofaut na epl iwe timu ya mwisho au hata kama imepanda daraja inasumbua timu kubwa vile vile. Ligi kule spain timu inafungwa 10! Talena mchezaj mmoja anajifungia goli 5!
 
kwa hyo upo upande upi La Liga au Epl The domo league
 
La liga ipo very uniform huwe icompare na epl hata kidogo....timu zile zile la liga ndo zinashindaga na kuongoza ligi/kuchukua ubingwa kabisa tofaut na epl iwe timu ya mwisho au hata kama imepanda daraja inasumbua timu kubwa vile vile. Ligi kule spain timu inafungwa 10! Talena mchezaj mmoja anajifungia goli 5!
Kazi unayo, mi zote nafatilia ila La liga itaendelea kuwa bora tu hata kama New Castle watachukua kombe la mfalme
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom