Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,063
Watu 8 wameuawa kwa kupigwa risasi kwenye mji wa Perm nchini Urusi na wengine 20 kujeruhiwa baada ya Mwanafunzi mmoja wa kiume kufyetua risasi katika Chuo Kikuu cha Perm.
Timu ya Upelelezi ya Urusi ambayo inachunguza matukio makubwa ya kihalifu imesema Mshambuliaji huyo ameuawa.
Taarifa za awali zinasema Mshambuliaji huyo ni Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 18 ametambulika kuwa ni Timur Bekmansurov lakini bado haijajulikana kwanini amefanya mauaji hayo.

bora duniani