Makapuku Forum

Yani mmechoka ndio kwanza mechi ya kwanza?

Bado hajapiga Hatrick
Bado hajapiga migoli ya comeback
Bado hajaja Anfield, Stamford Bridge wala Emirates?

Fungeni tu mikanda mna kasafari karefu chenye milima na mabonde [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
BREAKING NEWS| ARSENAL YAPATA USHINDI WAO WA KWANZA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

FT: ARSENAL [emoji2389]-[emoji2388] NORWICH

[emoji460]AUBEMAYANG

[emoji2392] GAMES
[emoji2391]LOOSE
[emoji2389]WIN
 
[emoji3578][emoji3578][emoji3578] Farhan Jr

Wakati Rafa Benitez ni Kocha wa Real Madrid, aliwahi kumtuma Kocha wake Msaidizi ampelekee flash Cristiano Ronaldo atazame video za namna ya kuiba nafasi (Loose a maker)

Msaidizi wa Benitez baada ya kumkabidhi flash Ronaldo na kumpa hayo maelekezo, Ronaldo akamwambia subiri mara moja

Akaiweka flash kisha akarudi na kumwambia Msaidizi, "Nenda kamwambie Benitez kesho nitamletea flash ya magoli yangu kwa ajili ya yeye kujifunza namna ya kufundisha kuiba nafasi" akamaliza

Baadae Benitez alipokuja kutazama mabao ambayo Ronaldo anafunga, mengi yalikuwa ni kuiba nafasi na kuweka kambani (Loosing a Marker) ni akili kubwa mno

Leo tena bao lake la kwanza Old Trafford unaweza kuliona rahisi sana ila ni bao gumu sana kulifunga, akili kubwa sana! Ni muendelezo wa clip zake za LOOSING A MARKER, bila shaka Benitez anaendelea kujifunza

He is Cristiano Ronaldo The Animal. [emoji123]
 
Acha tufunge mjadala kwa leo ila wimbi la pili la kelele za Manchester United litaendelea wiki ijayo kwenye UEFA

Ahsanteni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Cristiano Ronaldo ni mmoja tu jamani naendelea kuwakumbusha labda mmesahau
 
Hawa bila pesa hawawezi kufanya kazi iliyowaleta
 
Halafu kingine jamani mapenzi matamuuuu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] ukimpata anayekupenda jamani usimwachie mshikilie ukimwachia tu wenzio wanamdaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwisho wa siku akidakwa unabaki muimba taarabu

Nyieee jamani mapenzi matamuuu naenjoy mimi
 
[emoji471] | CAF CHAMPIONS LEAGUE
.
[emoji1241] YANGA [emoji739] RIVERS UNITED [emoji1184]
[emoji413] 12/09/2021.
[emoji354] 11:00 Jioni.
[emoji909] Benjamin Mkapa.

Mashabiki wa rivers tupo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…