Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
![]()
Hii kitu ameniacha hoi sana.
Tutalipia hadi gesi ya binadamu(ushuzi)
............
![]()
Hii kitu ameniacha hoi sana.
Mamy ndio msosi WA ucku ??
Teacher unataka kunisibitishi kwamba mwalim anafanya makusudPupil mwalim Huwa anakosea makusudi ili apime uwezo WA mwanafunzi

Kumbe FFU wao nao ni watata hivi, sasa mbona wanashindwa kuwadhibiti Al Shababu?![]()
Kenya hiyo
.........
Shem darling nini hiko?
Ndio, ,,, always mwalimu yuko sahihiTeacher unataka kunisibitishi kwamba mwalim anafanya makusud![]()
![]()
![]()
Sema tatizo wahuni hasa kwenye vigodoro. Ndo wanafanya hizi nyimbo zionekana siohizo nyimbo ni pride of uswazi
Hahaha atazijulia wapiYeye wa Oysterbay hajui hizo nyimbo
Hiii shida sasMamy ndio msosi WA ucku ??
Shida iko hapo, Wahuni tena na mazuna nje nje kwenye vigodoro.Sema tatizo wahuni hasa kwenye vigodoro. Ndo wanafanya hizi nyimbo zionekana sio
Hahaha atazijulia wapi
Yes dear! Karibu.Mamy ndio msosi WA ucku ??
Shida ya nini tenaaa!??Hiii shida sas
Hiyo ni matsebele, vingamba, ngogo na njuguuuKumbe FFU wao nao ni watata hivi, sasa mbona wanashindwa kuwadhibiti Al Shababu?
Njugu, karanga, viazi, mahindi na mamung'unya.Shem darling nini hiko?
Bila kusahau mabogaHiyo ni matsebele, vingamba, ngogo na njuguuu
Huo mchanganyiko ukiingia tumboni nini kitatokea baada ya muda?Njugu, karanga, viazi, mahindi na mamung'unya.
Asante mayoYes dear! Karibu.
Tofautisha mabomu na virunguKumbe FFU wao nao ni watata hivi, sasa mbona wanashindwa kuwadhibiti Al Shababu?
Na ruvuma na mbeya.Asante mayo
Vyakula vya Iringa hivyo
Aaah mdogo mdogo na kicheko na rdj manzi 93.7Nyimbo zetu sisi Watu wa uswazi. Jaribu kusikiliza e-fm
Kuna siku Fulani nakumbuka walikuja na mapanga bangi nyingi sana siku hiyo mpaka DJ ikabidi asimamishe mziki kwanzaShida iko hapo, Wahuni tena na mazuna nje nje kwenye vigodoro.