Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
wako vizuri...Hahaha nasikiliza hapa
wako vizuri...Hahaha nasikiliza hapa
Uvumilivu unanishinda, , Japo wanasema ualimu ni wito mie nimeshndwaHahaha...kazi unayo
Tumekupokea mkuu ila Kitufe chako cha like hakikisha kiko OK kama kinasumbua kirekebishe kwanza
Aliyegundua hizi nyimbo big up kwakewako vizuri...
Pupil ni kilaza mbayaaaaWatu na wanafunzi wao
Mie niko poa shemHahahahah nakukubali sana shemeji. Lazima wafate taratibu na kanuni za humu.
Shemeji yangu nipo si unajua siku hazifanani. Ila Niko poa kabisa.
Hofu kwako
Asante sana shemejiMie niko poa shem
Karibu
Je unavigezo hivi;
Upendo kwa wote?
Nidhamu je?
Dharau umeacha!
Karibu sana
Tumeziundia tumeSasa 10% zmeenda wapi Mussolin5!!?
Shwari, habari ya wewe?
Mbona sioni likes zako kwangu????Usiogope mkuu.kipo safi Ni kugusa tu.
Usichoke vumilia tu!!Uvumilivu unanishinda, , Japo wanasema ualimu ni wito mie nimeshndwa
Nimeongea kuun kidog niambie my teacher![]()
![]()
![]()
![]()
dug - gud/good
Pupil unazingua
Karibu
Rule 1.Toa like upate like
Rule 2.don't forget rule no. 1..
Kila LA kher
Hakika mkuu...Aliyegundua hizi nyimbo big up kwake
Sio kwako tu sijaona kama ametoa hata mojaMbona sioni likes zako kwangu????
Kaka na hivi elimu bure, arudi darasa LA Kwanza cUsichoke vumilia tu!!

Mbona hutoi likes?Upendo umejaa kwa wote.
Nidhamu usiulize ndugu.
Dharau sijawahi kuwa nayo.
Anazingua huyuSio kwako tu sijaona kama ametoa hata moja
Ingawa sizikilizi sana. Ila huku uswazi huwaambii kitu kabisa.Hakika mkuu...