amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Umetisha sn teacher badayNdio, ,,, always mwalimu yuko sahihi
Hahahaa![]()
Hii kitu ameniacha hoi sana.
Nyuklia bomuHuo mchanganyiko ukiingia tumboni nini kitatokea baada ya muda?
Umenikumbusha mbali sana lizziebettie
Hapa ndiyo naanza kupata wasiwasi.Hahahaa
Aki serikali ubunifu umeisha sasa harus na kodi wapa na wapi
Hii serikali nayo ni.........Hahahaa
Aki serikali ubunifu umeisha sasa harus na kodi wapa na wapi
HahahaHapa ndiyo naanza kupata wasiwasi.
HahahahaHii serikali nayo ni.........
Bora mie neshaolewaaa Bila kutoa kodi
Wapi huko?Umenikumbusha mbali sana lizziebettie
Show za kibabe... na vibegi vyao mgongoni. Uswazi kuna changamoto zakeKuna siku Fulani nakumbuka walikuja na mapanga bangi nyingi sana siku hiyo mpaka DJ ikabidi asimamishe mziki kwanza
Tena kodi ya talaka iwe kubwa sana ili wanandoa tuogope kuachanaHahahaha
Angalia usilipe kodi ya talaka sasa
Naskia itakuepo

kwa lugha nyingine tunasema Silaha za maangamizi.Nyuklia bomu
HahahaaTena kodi ya talaka iwe kubwa sana ili wanandoa tuogope kuachana![]()
Watu wataanza kufanya visa ili ndoa ivunjike.Tena kodi ya talaka iwe kubwa sana ili wanandoa tuogope kuachana![]()