Makapuku Forum

Shaka ondoa Shunie, salaam kwa Shadeeya zimefika. Na hivyo walivyomsajili Manara ili awaletee ubingwa saa zote yuko anatabasamu tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ubingwa watausikia kwenye bomba na manara wao

Huku bwana jina linawaogopesha watu ujue ila makapuku ni jina tu jamani
🀣🀣🀣

#Sisitunawatu.
 
Nakubali mna watu aisee. Haji si kawahakikishishia kubeba ndoo ya TPL?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Manara yule ni mpiga mdomo tu kama wapiga mdomo wengine sema nini anajua kwenda na upepo.

Sisi tunakiaminia Kikosi chetu kwamba ni bora na pia ukizingatia tuna seasons zaidi ya 4 hatujachukua ubingwa hivyo this time mkubali mkatae ubingwa VPL ni kwa Timu ya Wananchi.
Ila hili chimbo la Makapuku nilikua naliona tu nalichukulia poa ila liko poa sana
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwa usajili upi kwa mfano?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…