Mjomba space ina mamboo...mm naingia nazama kabisaaaa ndani kabisaaaa...ha aha ahahaha, anko baaada ya kukutafuta sana mjini kumbe unapatikana space.
Basi hizo salamu zitume kwa njia yaetu ya mawasiliano.
Mzima lakini kaka mjomba
HahahahaMessi anahama na kigodoro chake
Unayasoma au unasomewa kwa niaba