Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
CHAMA MKWANJA MREFU ANASEPA
.
Vyombo vya habari nchini Morocco vimeripoti kuwa kiungo wa Simba, Clatous Chama anatarajiwa kusajiliwa na klabu ya FAR Rabata kwa dau la dola 600,000 (Sh bil 1.3).
.
SA pia tumejiridhisha kwamba Chama jana Jumatatu hakujumuishwa kwenye orodha ya wachezaji wa Simba wanaojiandaa kwenda kambini.
.
Upande wa Chama mwenyewe amekanusha akisema;
“Hizo taarifa nimeziona kwenye Instagram kaka, bado nina mkataba wa miaka miwili na sijaambiwa lolote.
.
Wakati huo huo, wiki moja nyuma mchezaji huyo alikaririwa kupitia ukurasa wake wa Instagram alipokuwa mubashara (Live) akisema yupo tayari kuondoka kwenda timu yoyote kama tu mabosi wa Simba watakubaliana na timu hiyo.
.
Mmoja wa mabosi kutoka Simba amefunguka kuwa ofa ya Chama ni kubwa hawawezi kuiachia ila wanaiweka sawa kabla ya kukamilisha dili hilo.