Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Kabisa mamyEbu shangaa jamani yaani mimi ndio huwa sijali kabisa
Kabisa mamyEbu shangaa jamani yaani mimi ndio huwa sijali kabisa
Hahahha mimi nahisi nitakuwa wa mwisho kupata chanjo mpaka nyie mmalizikeMwenzetu tayari[emoji3][emoji3]
Waoga wa sindano mnajulikana kwa kweli mimi nitakuwa wa mwishoHahahha mimi nahisi nitakuwa wa mwisho kupata chanjo mpaka nyie mmalizike
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kweli sindano tunaziogopa ila sasa toka mwanzo walitutisha na haya mambo mpaka watuweke sawa sio leo mara damu kuganda mara kufa sijuiWaoga wa sindano mnajulikana kwa kweli mimi nitakuwa wa mwisho
Naendelea vizuri sana baba wawili sijui wewe mbona umeadimika sana hivi nini shida etiSijambo Shunie, habari za kwako? Unaendeleaje na majukumu yako ya kila siku
Kuna mambo tu yalinibana Shunie, ila kila kitu kipo sawa kwa sasa..Naendelea vizuri sana baba wawili sijui wewe mbona umeadimika sana hivi nini shida eti