Hahahhahha mzee huna akili weweShunie ina maana wewe hupendi kupashughulisha hapo kati mzee mwenzangu?
Mimi niwe mkweli, pamoja na kuzeeka kwangu lakini kati muhimu sana hata pawe panaguswa guswa mipapaso tu Kuna Raha yake, tena ukute ngozi nyororo laini mikono imeumbika kama ya chibonge mwepesi cheusi mangala mtoto mlito a.k.a shangazi Shunie Shunie awwwwwww Mimi ni nani hata nisipagawishwe akii!!???
HahahahaShunie ina maana wewe hupendi kupashughulisha hapo kati mzee mwenzangu?
Mimi niwe mkweli, pamoja na kuzeeka kwangu lakini kati muhimu sana hata pawe panaguswa guswa mipapaso tu Kuna Raha yake, tena ukute ngozi nyororo laini mikono imeumbika kama ya chibonge mwepesi cheusi mangala mtoto mlito a.k.a shangazi Shunie Shunie awwwwwww Mimi ni nani hata nisipagawishwe akii!!???
duh! yaaani thamani ya huyu bwana ni luis jose miquissone 160GREALISH NI SUALA LA MUDA TU ETIHAD
.
Staa Jack Grealish yupo kwenye hatua za mwisho kabisa za kukamilisha uhamisho wake wa rekodi kwenye Ligi Kuu England kwa kujiunga na Manchester City kwa ada ya Pauni milioni 100 (Sh 323 Bilioni)
.
Na kila kitu kinaonekana kuwa kwenye hali nzuri ambapo kwa taarifa za mtaalamu Fabrizio, Grealish atafanyiwa vipimo vya Afya hii leo Alhamisi.
.
Grealish anaenda kuvunja rekodi ya Paul Pogba ya kuwa mchezaji ghali zaidi kwenye Ligi Kuu England, wakati aliponaswa kwa Pauni milioni 89 na Manchester United kutoka Juventus mwaka 2016.
.View attachment 1880467