Mwaka 2013 Ombaomba aitwae Billy Ray Harris alirejesha pete yenye thamani ya USD 4000 (Tsh. Milioni 9.2) Kwa Mwanamke Sarah Darling ambaye aliiangusha mtaani kwa bahati mbaya.
Ili kulipa fadhila Sarah alianzisha harambee ya kumchangia kupitia fundraising page, alikusanya USD 180,000 (Tsh. Milioni 417.4) ambayo imemuwezesha Billy kupata nyumba yake, gari na baadaye ajira. View attachment 1846972
Kadri Teknolojia inavyopanuka ndivyo Watu wanavyoongeza ubunifu, leo nakukutanisha na hivi vyoo ambavyo huwekwa maeneo ya wazi yanayotumiwa na Umma vikiwa vimetengenezwa kwa kuruhusu Mtu aliye ndani aone nje lakini wa nje hawezi kuona ndani.
Vinatumika kwenye Nchi mbalimbali ikiwemo Uingereza na kwa Afrika Nchi ya Nigeria imeanza pia kuvitumia.
Baby, I'm dancing in the dark with you between my arms...
Barefoot on the grass, listening to our favourite song...
When you said you looked a mess, I whispered underneath my breath...
But you heard it, darling, you look perfect tonight...
Well I found a woman, stronger than anyone I know...
She shares my dreams, I hope that someday I'll share her home...
I found a love, to carry more than just my secrets...
To carry love, to carry children of our own....