Makapuku Forum

Hausukumi damu moyo unasukuma upendo wangu niko mahabani mambo sawa Sawaa...[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Halima Abdallah Bulembo amekabidhi hundi yenye thamani ya shilingi 136,000,000 kwa makundi ya akina Mama,Vijana na Watu wenye ulemavu.

Fedha hizi ni asilimia 10 za makusanyo ya mapato ya Halmashauri ambazo zinalenga kuwakwamua wakina Mama, Watu wenye ulemavu na Vijana kujipatia maendeleo.

Serikali inaendelea kuwawezesha Wananchi na makundi mbalimbali ambao kwa hali ya kawaida hawakopesheki katika mifumo rasmi ya kifedha.
 
Ili mradi moyo wangu uwe na furaha na amani bwana

Waswahili wanakwambia raha jipe mwenyewe kama uwezo unao usingoje kupewa

Huyo ndio mimi [emoji2356][emoji2356] huyo ndio shunie mimi apa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…