Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Miss you rafiki, baadae tutaonana hakuna shakaNimewamisi sana.
Tutaonana badaye mungu akipenda.
Kile kidogo alinachonacho, mi hata sijui........ Nimenukuu kwa kile wenyewe wanachoita kitabu kitakatifuKipi wakati ushasema hana???
HahahaFigisu figisu hazikosekani, sijui kwanini chanzo changu kimeitoa hiyo habari, basi tuvumilie tu
Tuko Sevila tupo Simba tatzo kwa Fc Barcelonahata mimi mkuu
nawe pia mkuuuwe na siku njema.
One loveHahaha
Haina shda nme kusoma
Sema unamchekea sana yule kiumbe kibosile hebu fanya akae basiuwe na siku njema.
....hata mimi huwa sipaelewi, nikadhani mama mchungaji unaweza toa msaada tutaniKile kidogo alinachonacho, mi hata sijui........ Nimenukuu kwa kile wenyewe wanachoita kitabu kitakatifu

mambo vipi ..Habari ya Asubuhi wapendwa.
Sumbai mzima!Good morning all
Mkuu upo!Nipo kiongozi. Za siku mbili tatu
Ahaa, kazi vpmm ni buheri wa afya
Prezdaa mambo vpNipo poa
Sasa mbona umekuwa adimu km sukari guru
![]()
![]()
![]()
..........
Morning braza.Good morning all
Nin kilijiri huku mkuuHapa KF kulijitokeza changamoto mbili tatu lkn hazikudumu ....tulizipotezea kizungu
![]()
![]()
![]()
![]()
...........
Na kwako pia dada yangu.Asubuh njemaaaa
HahahaMuongo ww ....jana si ulikuwa unaendesha tumbo sababu ya kufakamia maparachichi yenye rangi ya Bashalona
![]()
![]()
![]()
.............
Morning braza.Goodmorning to all family.
Hope mko poa kabisa