Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
AaahBarcelona jukwaa liko tulivu na hatutaki kelele zako
Jamaa hamnipend nyie kule kwel kwl
AaahBarcelona jukwaa liko tulivu na hatutaki kelele zako
Uko poa!Habari ya Asubuhi wapendwa.
Ni njema kaka. Habari ya siku vipi?Uko poa!
Habari dadakeMiss you rafiki, baadae tutaonana hakuna shaka
Salama vipi u hali gani?Jonax mambo vp
Iko njema sana kaka. Vipi kwako?Jaman abar za asubuhi!!?
Njema kabisa, habari ya wewe?Habari dadake
Bonjour!....hata mimi huwa sipaelewi, nikadhani mama mchungaji unaweza toa msaada tutani![]()
Habari ya siku kaka.Naona uchambuzi wa soccer bado unaendelea
Iko poa sanaaa, sijui kwako bro?Habari ya siku kaka.
Mi sio mama Mchungaji wala Mchungaji mama.......hata mimi huwa sipaelewi, nikadhani mama mchungaji unaweza toa msaada tutani![]()
salama kabisa dada, nimekumissNjema kabisa, habari ya wewe?
Unanimisije wakati nipo hapa daily??salama kabisa dada, nimekumiss
Maabaa...Shikamooni wakubwa...wadogo chamoo!
Jana sikushiriki, nilikuja jukwaani wew ndo ulisha agaUnanimisije wakati nipo hapa daily??
Nina katabia ka kuulizia jinsia...sijui kama ni tabia nzuri ila poa tu! Kajinsia kako please!
Unataka kumfanya niniii?SwaafPrezdaa mambo vp
Nin kilijiri huku mkuu
Hahahaaa...NAwasalim!![]()