....na usisahau wale wajuba wa enzi za Lot (Lutu) waliopigwa upofu wakiwa katika harakati za kutaka kuwalawiti (homosexual relations with the angels). Wajuba waliwakataa mabinti bikira wakawataka kukomangana na wanaume wenzao. Haijaanza leo
....nimepata kazi kwa wahindi aunt yangu, wanashikilia simu na wamekaa kianalojia zaidi, fikiria hadi leo wanatumia zile simu za kuzungusha kuunganishwa kwa operator?
Anko Lee anajua sema umemchanganya na Nigendako anaongeza changanyo basi inakuwa hasi jumlisha hasi