Hahahahahaha bonyeza tuNipo nabonyeza link kwenye bio yenu hapa ili nipate story zaidi
Kwema baba wawili za weweHahahahah dah
Kwema Shunie?
Pole yao sana wafiwa...Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kama Fredwaa amefariki dunia leo Dar es salaam, taarifa za awali zinasema amefariki baada ya kupata ajali leo Kawe, Dar es salaam… taarifa zaidi kukujia.
Fredwaa amewahi kufanya kazi Times FM Dar es salaam, Radio Free Africa Mwanza pamoja na CloudsFM Dar es salaam View attachment 1816380
Wee naachwaje mie sasa? Yaan ndoa halali kabisa niachwe tena? Daah kuna jamaa, anataka kuvuruga ndoa yangu,Usitake kuniambia shem kakuacha