Asante kwa kuyapitiaAsante shunie kwa magazeti
EeenhWee naachwaje mie sasa? Yaan ndoa halali kabisa niachwe tena? Daah kuna jamaa, anataka kuvuruga ndoa yangu,![]()
Kwema kabsa Shunie,nikutakie Jumapili njema hapo ulipoKwema baba wawili za wewe
Asante baba wawili na kwako piaKwema kabsa Shunie,nikutakie Jumapili njema hapo ulipo
Mjomba na yeye haka kabia huwa anakapenda NigendakoKabeer katamu hakaView attachment 1817563
HehKabeer katamu hakaView attachment 1817563
Nataka nikoment tenaKabeer katamu hakaView attachment 1817563
discribe mjomba wako kwa neno moja ?Kabsa mjombaa,kabia kangu haka
mjomba ata kwa dk moja kuwa upande wangu ujionee mateso bila chukiLeo ndio nmejua kwann ankoo kila siku lazima apost "asante kwa magazeti"
wakubwa wanafaidiDah,rangi ya mtume![]()
Kwa neno moja haitoshidiscribe mjomba wako kwa neno moja ?
Unateseka sana ndugu yangu,una moyo sanamjomba ata kwa dk moja kuwa upande wangu ujionee mateso bila chuki