Makapuku Forum

Makapuku Forum

Viwanja vyetu vingi vya michezo ni vibovu na ubovu huo unasababisha Timu bora kama Simba kupata matokeo mikoani yenye idadi ndogo ya magoli, napendekeza kusamehe kodi ya ongezeko la thamani kwa nyasi bandia kwa viwanja vilivyoko kwenye Majiji”
 
20210611_071752.jpg
20210611_071814.jpg
 
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa na kuteua wengine ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhandisi Robert Luhumbi anahamia Mkoa wa Mwanza na Albert Chalamla uteuzi wake umetenguliwa.
20210611_090821.jpg
 
Rais Samia Suluhu amemuhamisha Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ally Hapi kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara akichukua nafasi ya RC Gabriel Luhumbi ambaye amehamishiwa Mwanza kuwa RC baada ya uteuzi wa RC Chalamila kutenguliwa.

Katika hatua nyingine Rais Samia amemteua Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Batilda Salha Buriani kuwa RC Tabora akichukua nafasi ya RC Hapi.

Zuwena Omari ambaye ni Katibu Tawala Wilaya ya Simanjiro ameteuliwa kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga akichukua nafasi ya Batilda, swipe kuona teuzi nyingine.
20210611_090948.jpg
 
Rais Samia Suluhu amemuhamisha Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhandisi Gabriel Robert Luhumbi kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akichukua nafasi ya Albert Chalamila ambaye uteuzi wake umetenguliwa, swipe kuona teuzi nyingine, Injinia Luhumbi alikua Mkuu wa Mkoa wa Geita kabla ya kuhamishwa kwenda Mkoa wa Mara.
20210611_091053.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom