Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
Ebu ngoja kwanza hizo nyota nyota sijatukanwa kweli mimiUnaendeleaje kwanza?
****kali...



Ebu ngoja kwanza hizo nyota nyota sijatukanwa kweli mimiUnaendeleaje kwanza?
****kali...



Ni neno ambalo hulipendagi...Ebu ngoja kwanza hizo nyota nyota sijatukanwa kweli mimi![]()
Hahahha nataka kujua vinc nisije nikawa nimetukanwa na smart
Lipi hilo ebu niambie basiNi neno ambalo hulipendagi...
😀 😀
Nikikuambia utakubali...Lipi hilo ebu niambie basi
Hahahah sasa hizo nyota nyota ni nini jamaniHawezi kukutukana bwana kani umemkosea kitu.. kuna wakati vidole vyateleza tu
Sitaki bwanaNikikuambia utakubali...
Kaone kwanza, hutaki nini...Sitaki bwana
Kaone kwanza, hutaki nini...
Hii "Sitaki bwana" mbona kama niliyoisikia kule...




Unacheka au unachekelea...
Usinikumbushe kutaka kunisingizia na uwongo wako
Sio ukae kimya shida ni kutaka kusingiziwa eti nani amenishika namwambia hivyoUnacheka au unachekelea...
Ulivyoitoa kule dah!! acha nikae kimya...
Siyo kwa "Sitaki bwana" ile ya puani kabisa...Sio ukae kimya shida ni kutaka kusingiziwa eti nani amenishika namwambia hivyo
Hhahaha una nini lakiniSiyo kwa "Sitaki bwana" ile ya puani kabisa...
Tatizo eneo ulilotokea ni hatarishi... alafu "Sitaki bwana" ya puani... Dah!!Hhahaha una nini lakini
Nilikua nakubania pua wewe hapo etiTatizo eneo ulilotokea ni hatarishi... alafu "Sitaki bwana" ya puani... Dah!!







Pua unanibaniaga kho' kho' kho' samahani nimepwaliwa kidogo na mate naomba mate...Nilikua nakubania pua wewe hapo eti![]()
Kunywa soda kabisaPua unanibaniaga kho' kho' kho' samahani nimepwaliwa kidogo na mate naomba mate...
i mean maji...