Makapuku Forum

Makapuku Forum

“Baada ya uchambuzi wa kina Kamati imependekeza Serikali itoe taarifa juu ya uwepo wa ugonjwa wa Covid 19 na ichukue hatua madhubuti kuimarisha hatua zote za kinga katika ngazi zote ili kuepusha wimbi la tatu la ugonjwa huo”———Mapendekezo ya Kamati ya Tathmini ya Corona iliyoundwa na Rais Samia Suluhu

Tanzania ishiriki ipasavyo katika maamuzi na itekeleze maazimio ya Kikanda na Kimataifa iliyoridhia katika Jumuiya za Afrika Mashariki, SADC, AU na WHO”———Kamati ya Tathmini ya Corona
20210517_180312.jpg
 
“Serikali iendelee kuzingatia mazingira ya Kitanzania katika udhibiti wa Covid 19 katika kuamua kuweka au kutoweka shuruti ya kujifungia (lockdown) na kuwa na ubunifu ili kuruhusu ukuaji wa uchumi na kuimarisha sekta zinazochangia uchumi”———Mapendeezo ya Kamati ya Tathimini ya Corona iliyoundwa na Rais Samia
20210517_180425.jpg
 
“Kuhusu chanjo dhidi ya Covid 19, Kamati inashauri Serikali kupitia vyombo vyake iendelee na hatua kuelekea kuruhusu matumizi huru ya chanjo dhidi ya Covid 19 kwa kutumia chanjo zilizoorodheshwa na WHO ili kuwapa fursa ya kinga Wananchi wake”———Mapendekezo ya Kamati ya Tathmini ya Corona iliyoundwa na Rais Samia

“Kupitia uchambuzi wa Kamati, chanjo za Covid- 19 (zilizoorodheshwa na WHO) zina ufanisi na usalama unaokubalika Kisayansi, kipaumbele cha utoaji wa chanjo kiwe kwa Wahudumu wa vituo vya kutolea huduma za afya na Watumishi walio mstari wa mbele wa utoaji wa huduma mathalani Watumishi wa Sekta ya Utalii, Hoteli, Mipakani, Viongozi wa Dini na Mahujaji, Wazee, Watu wazima kuanzia miaka 50 na wenye maradhi sugu”———Kamati ya Tathmini ya Corona

View attachment 1788634
Hapa sawa...

Mimi binafsi sitochanjwa...
 
“Serikali iendelee kuzingatia mazingira ya Kitanzania katika udhibiti wa Covid 19 katika kuamua kuweka au kutoweka shuruti ya kujifungia (lockdown) na kuwa na ubunifu ili kuruhusu ukuaji wa uchumi na kuimarisha sekta zinazochangia uchumi”———Mapendeezo ya Kamati ya Tathimini ya Corona iliyoundwa na Rais SamiaView attachment 1788654

Hatutaki lockdown...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom