usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,980
- 14,097
Kwanini wamepunguza siku 45 au ndo kubana matumizMbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2021 zinatarajiwa kuanza Visiwani Zanzibar ambapo uzinduzi utafanyika kesho Jumatatu May 17,2021 katika Kijiji cha Mwehe Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi.
"Mbio za Mwenge wa Uhuru zinaendelea tena baada ya kusimama mwaka 2020 na kwa mwaka huu Mwenge utakimbizwa kwa siku 150 tu baadala ya siku 195 kama ilivyozoeleka awali"———Waziri Jenista MhagamaView attachment 1787150


