Makapuku Forum

Makapuku Forum

20210515_081357.jpg
 
Messi alizaliwa tarehe 24 Juni 1987 na Cristiano Ronaldo alizaliwa tarehe 5 Februari 1985. Watoto wao Cristiano Jr alizaliwa Juni 17, 2010 na Thiago Messi alizaliwa Novemba 2, 2012.
20210515_082527.jpg
 
Rais Samia Suluhu amemteua Aboubakari Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, kabla ya uteuzi Kunenge alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na anachukua nafasi ya Mhandisi Evarist Ndikilo ambaye amestaafu.
20210515_134429.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom