...huyu aliyekalia hiki kisofa unachokipenda anko kaniudhi sana, anavaaje jeans kwenye sofa hadi nimeshindwa kuthaminisha bei. Kavaa utasema yuko gereji bhana, nimekasirika sana na kaharibu mood yangu kabisa muda huuNina uhitaji wa hiki kisofa ...msaada pa kukipataView attachment 1784289
...kameganda hadi kanatoa jasho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kalivyoganda sasa [emoji847]
Mpenda chupa ya kijani lazima mate yakutokeView attachment 1784815
Hujaona mwaliko wangu Shunie, nimekualika hapa hapa nyumban
Acha kabisa binamu na kalivyo katamu...kameganda hadi kanatoa jasho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kalivyoganda sasa [emoji847]
Mpenda chupa ya kijani lazima mate yakutokeView attachment 1784815
NijibuUkiachwa Achika
Duniani[emoji28][emoji28][emoji28] malipo ni hapa hapa
Hata sijui ebu niambie nini kinafuataKifuatacho baada ya hapa...
Shunie ujue kesho Naendelea na sita [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kalivyoganda sasa [emoji847]
Mpenda chupa ya kijani lazima mate yakutokeView attachment 1784815
Tayali kashapigwa ndugu yetu, japo hakubari matokeo....bado dakika 15 za lala salama, timu ya anko wangu haijapata kitu na timu ya aunt yangu inaongoza kwa goli 7.
kwako Nigendako , unadhani anko wangu anaweza kubadili upepo akaambulia japo sare?
Umeanza eeh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shunie ujue kesho Naendelea na sita [emoji28][emoji28][emoji28]