Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amerejea nchini akitokea Uganda ambako mapema leo amehudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Uganda Yoweri Museveni.
Rais Museveni ameapishwa leo kuiongoza Uganda kwa muhula wa sita mfululizo, hii ni baada ya kushinda uchaguzi wa Jan 14, 2021 kwa kuwashinda wagombea wengine 10 katika nafasi ya Urais (akiwemo Robet Kyaluganyi maarufu Bobi Wine) kwa ushindi wa 58%