Makapuku Forum

Jeshi la Polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatanya Mashabiki waliokua nje ya Uwanja wa Mkapa baada ya mechi ya Simba na Yanga kuahirishwa, inadaiwa baadhi ya Mashabiki wamegoma kuondoka Uwanjani huku wengine wakitaka warudishiwe fedha zao za viingilio.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…