Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahhhaa mimi mpaka nyimbo niipende ila mbosso naipenda nyimbo aliyoimba na zuchu
Sikiliza maneno yake tu...
Hahhhaa mimi mpaka nyimbo niipende ila mbosso naipenda nyimbo aliyoimba na zuchu
Kasikilize maneno yake...

Unaambiwa:
Nguru usimtoe chumvi ndio ladha yake...
Muunge tu nipe na chuzi na nyama yake...
Eeh kula ya mbuzi ni kamba yake...
Ye king'amuzi mi ni dishi lake...
 
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imefanya kikao na Uongozi wa Yanga ambapo pamoja na mambo mengine Viongozi wa Yanga wakiongozwa na Mwenyekiti wake Dkt. Mshindo Msolla wameelezea namna ambavyo Yanga hairidhishwi na jinsi TFF inavyoshughulikia mambo ya Yanga.

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema walipokea wito kutoka kwa Waziri ambaye aliagiza pia Watendaji wa Wizara wakutane na Viongozi hao wa Yanga na wamefanya mazungumzo na kuwasilisha nyaraka mbalimbali.

“Tumekutana na Viongozi wa Serikali tumeeleza yote ya Msingi, tumewaachia wayafanyie kazi na kwakweli yalikuwa majadiliano mazuri sana na tunawaomba Wanachama na Wapenzi Watulie wakati huu ambao Serikali inayashughulikia masuala haya”——— HASSAN BUMBULI

Bumbuli amesema Serikali ilitaka kufahamu kwa undani juu ya hali ya sintofahamu ambayo imekuwa ikijitokeza kati ya Yanga na TFF———“Tunaishukuru Serikali kwa kutupa nafasi ya kuelezea yote ambayo Klabu inafanyiwa tumaamini suluhisho litapatikana”
20210408_161008.jpg
 
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imefanya kikao na Uongozi wa Yanga ambapo pamoja na mambo mengine Viongozi wa Yanga wakiongozwa na Mwenyekiti wake Dkt. Mshindo Msolla wameelezea namna ambavyo Yanga hairidhishwi na jinsi TFF inavyoshughulikia mambo ya Yanga.

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema walipokea wito kutoka kwa Waziri ambaye aliagiza pia Watendaji wa Wizara wakutane na Viongozi hao wa Yanga na wamefanya mazungumzo na kuwasilisha nyaraka mbalimbali.

“Tumekutana na Viongozi wa Serikali tumeeleza yote ya Msingi, tumewaachia wayafanyie kazi na kwakweli yalikuwa majadiliano mazuri sana na tunawaomba Wanachama na Wapenzi Watulie wakati huu ambao Serikali inayashughulikia masuala haya”——— HASSAN BUMBULI

Bumbuli amesema Serikali ilitaka kufahamu kwa undani juu ya hali ya sintofahamu ambayo imekuwa ikijitokeza kati ya Yanga na TFF———“Tunaishukuru Serikali kwa kutupa nafasi ya kuelezea yote ambayo Klabu inafanyiwa tumaamini suluhisho litapatikana”View attachment 1746675
Yanga nao ni viazi...Mpaka raundi ya kwanza inaisha, walipokuwa wanaongoza ligi...hatukusikia haya maandamano...walipopewa penalt ya wasiwasi siku ile ccm kirumba iliyofungwa na kisinda, hatukusikia hizi lawama...ila mambo yalipogeuka wameanza kutafuta sehemu ya kufichia udhaifu wao...wana wa manipulate mashabiki wao.
 
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa TAMISEMI na Wizara nyingine husika kuhakikisha hakuna Mtoto wa Kitanzania anayesoma chini ya mti kwasababu ya uhaba wa Madarasa.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri Ummy Mwalimu wakati akizungumza na Watendaji wa Wizara hiyo Dodoma———“Rais amenielekeza hataki kuona Mtoto wa Kitanzania akisoma chini ya mti kwahiyo sisi TAMISEMI ni lazima tutekeleze, ameniambia Mimi ni Mama sitaki kuona Mtoto wa Kitanzania anasoma chini”

Waziri Ummy amesema pamoja na maagizo hayo ya Rais Samia lakini yeye kama Waziri wa TAMISEMI hafurahii kuona Wanafunzi wanasoma kwa zamu (wengine wanaenda Shuleni asubuhi na wengine mchana kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa) na kusema anatamani kuona Shule zikiwa na madara ya kutosha.
20210408_161612.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom