Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Nawaombea tu Tff walalamike Fifa yawakute kama ya ChadYanga nao ni viazi...Mpaka raundi ya kwanza inaisha, walipokuwa wanaongoza ligi...hatukusikia haya maandamano...walipopewa penalt ya wasiwasi siku ile ccm kirumba iliyofungwa na kisinda, hatukusikia hizi lawama...ila mambo yalipogeuka wameanza kutafuta sehemu ya kufichia udhaifu wao...wana wa manipulate mashabiki wao.

