Makapuku Forum

Makapuku Forum

“Kwa wale Wafanyabiashara ambao walishaanza kuona nikiweka hela yangu ikaonekana mtandaoni labda itachukuliwa yote, nitoe rai warudishe fedha kwenye Mabenki, zitaliwa mchwa huko na panya bila sababu, uchumi wa kisasa sio wa kuweka fedha kwenye boksi, kodi itatozwa tu sehemu ya fedha inayotakiwa kukusanywa”-Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwa Dodoma leo
20210403_202518.jpg
 
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mvua kubwa katika baadhi ya maeneo ya Mikoa ya Dar es salaam, Lindi, Kusini mwa Mkoa wa Morogoro na Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) kwa muda wa siku tatu kuanzia leo Jumamosi hadi Jumatatu April 05,2021, athari zinazoweza kutokea ni makazi kuzungukwa na maji na ucheleweshwaji wa baadhi ya shughuli za usafirishaji———“tafadhali zingatia na ujiandae”View attachment 1742438View attachment 1742439

Muhum wasikate umeme
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom