Makapuku Forum

Makapuku Forum

Msemaji wa Familia ya Hayati Dkt John Magufuli, Ngusa Samike, amesema kabla ya kifo chake Hayati Dkt Magufuli aliongoza sala na nyimbo akiwa na Madaktari na Wauguzi wake.

Amesema pia kabla ya kifo cha Hayati Magufuli, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na Paroko wa Parokia ya St. Peter Padre Alister Makubi walimpatia huduma ya kiroho ya Upako Mtakatifu, lakini pia Shekhe Mkuu wa Tanzania Mufti Aboubakar Zubeir nae alimfanyia maombi kabla ya kifo chake.
RIPHayatiMagufuli
20210320_221401.jpg
 
RIPHayatiMagufuliView attachment 1730435
Ila hizi captions za millard ni za kibabe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom